Main Menu

Login Form

Our Facebook Page

Uchaguzi

Somo: UCHAGUZI SAHIHI
- Maisha ni Uchaguzi -
Mnenaji: Isael Lema.
Wahusika: UKWATA Mkoa wa Pare.
Tukio: Mkutano Wa Pasaka.
Tarehe: 24.03.2016

PART I: SEHEMU YA KWANZA
UCHAGUZI:
UTANGULIZI, TAFSIRI NA MCHAKATO
Utangulizi
1. Katika maisha kuna chaguzi nyingi za kufanya.
2. Uchaguzi ni jambo moja na uchaguzi sahihi ni
jambo jingine.
3. Usipofanya uchaguzi maisha au asili (nature)
itakuchagulia. Maisha yaliyochaguliwa na asili ni
magumu sana ndio maana utaona mtu anajiua au
anaamua kuwa mlevi wa kupindukia au kuishi
maisha ambayo hayana mwelekeo.
*Uchaguzi ni hatua muhimu sana katika maisha.
Uchaguzi umetafsiriwa kama;
Kitendo cha kuchagua kati ya mambo mawili au
zaidi. Haki ya kuchagua au uwezekano wa
kuchagua.
Ila pia, imetafsiriwa kama uhuru wa kuchagua
unachotaka.
- Uhuru ya kwamba unaweza kuchagua kuwa au
kufanya kitu.
-Uhuru wa kuchagua unachotaka kufanya.
Kwa tafsiri binafisi: (Isael)
- Uchaguzi ni uhuru wa maamuzi.
- Ni kuamua jambo moja kati ya machaguo mengi
au fursa nyingi.
- Ni hatua anayofikia mtu ya kuamua kuwa namna
fulani, kufanya jambo au kuelekea uelekeo fulani.
- Ni hatua ya maamuzi anayofikia mtu katika
hitimisho la mafikara/ kufikiri kwake.
- Kutenga kutoka katika ujumla
Sahihi:
- Kweli
- Kilichosahihi kwa mujibu wa sheria
- Sawa kwa hali, kitu au mtu fulani
- Sawa kimaamuzi au hukumu.
* Ikumbukwe: Uchaguzi ni hatua inayoathiri
hatima ya mtu katika hilo eneo la maisha yake
analolifanyia maamuzi/uchaguzi.

Utangulizi Cont.....in PowerPoint file...Download the file here

New Teachings

Christian and Economy

Christian and Economy

Being rich for a Christian is a call;BUTBeing rich for all is a choice we make.Isael LemaKazi Ya Mungu ni Lazima ifanyike kwa Nguvu za Akili, Mwilina Mali.Kwa Hiyo Uchumi Unatuhusu Mno Kama WakristoLema Isael - Mkristo na UchumiKumcha Bwana ni...
Uchaguzi Sahihi

Uchaguzi Sahihi

Somo: UCHAGUZI SAHIHI- Maisha ni Uchaguzi -Mnenaji: Isael Lema.Wahusika: UKWATA Mkoa wa Pare.Tukio: Mkutano Wa Pasaka.Tarehe: 24.03.2016PART I: SEHEMU YA KWANZAUCHAGUZI:UTANGULIZI, TAFSIRI NA MCHAKATOUtangulizi1. Katika maisha kuna chaguzi nyingi za...
UNLIMITING THE LIMITS

UNLIMITING THE LIMITS

Soon or later in life there will be limits. Limitations are inevitable but conquerable. It does notmake you feel good. It feels terrible in its encounter but worth going through. You feeldemoralized, victimized, downtrodden, humiliated, and...

JEFFI-Ta Video Share Playlist

Word from the Leader

I JEFFI-Ta Leader I would like to tell you this “There is one name, 'the name of Jesus Christ' that every creature has to know it. We human being even more. Liko jina ambalo kila kiumbe lazima kilifahamu, 'jina la Yesu Kristo.' Sisi wanadamu tunatakiwa kulijua zaidi maana ndio lango la mbinguni. Lakini pia ni lango la ufalme wa Mungu na ufalme wa mbinguni. ” Most welcome!

Our Offices Location

Designed by MAANGATECH.COM