Main Menu

Login Form

Our Facebook Page

SALA
Katika jina la Yesu Kristo!
Nchi na vyote vijazavyo ni mali ya Bwana.
Dunia na vyote vilivyo ndani yake.
Hautakuwa maskini
Hautakuwa muhitaji
Umetengwa mbali na kupungukiwa
Hautaishi kwa madeni
Unavuka kiuchumi katika jina la YESU Kristo Bwana!
Bwana anaibariki kazi ya mikono yako
Natamka maongezeko juu yako
Kapu lako, mifugo yako, nafaka yako, biasha yako, kazi yako, uzao wako,
Utaenea kotekote uzitangaze fadhili za Bwana.
Kama ulishindwa kaanze tena,
Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti
Kama ulikata tamaa, amka jivike nguvu sasa,
Atakuagizia Bwana msaada toka patakatifu pake,
Amini tu. Msaada wake haukomi
Mauti na kupooza kumeondolewa kwako,
Kudumaa, kuzorota na kudhoofu kumeng’olewa sasa,
Kwa jina la Yesu Kristo!
Utajiri na heshima viko kwake Yesu.
Utajiri udumuo na haki pia
Amekuandalia wewe umpendaye mambo mazuri ya dhamani,
Utashibishwa kwa unono toka mkono wake wa kuume.
Katika jina la Yesu Kristo . AMEN

New Teachings

Christian and Economy

Christian and Economy

Being rich for a Christian is a call;BUTBeing rich for all is a choice we make.Isael LemaKazi Ya Mungu ni Lazima ifanyike kwa Nguvu za Akili, Mwilina Mali.Kwa Hiyo Uchumi Unatuhusu Mno Kama WakristoLema Isael - Mkristo na UchumiKumcha Bwana ni...
Uchaguzi Sahihi

Uchaguzi Sahihi

Somo: UCHAGUZI SAHIHI- Maisha ni Uchaguzi -Mnenaji: Isael Lema.Wahusika: UKWATA Mkoa wa Pare.Tukio: Mkutano Wa Pasaka.Tarehe: 24.03.2016PART I: SEHEMU YA KWANZAUCHAGUZI:UTANGULIZI, TAFSIRI NA MCHAKATOUtangulizi1. Katika maisha kuna chaguzi nyingi za...
UNLIMITING THE LIMITS

UNLIMITING THE LIMITS

Soon or later in life there will be limits. Limitations are inevitable but conquerable. It does notmake you feel good. It feels terrible in its encounter but worth going through. You feeldemoralized, victimized, downtrodden, humiliated, and...

JEFFI-Ta Video Share Playlist

Word from the Leader

I JEFFI-Ta Leader I would like to tell you this “There is one name, 'the name of Jesus Christ' that every creature has to know it. We human being even more. Liko jina ambalo kila kiumbe lazima kilifahamu, 'jina la Yesu Kristo.' Sisi wanadamu tunatakiwa kulijua zaidi maana ndio lango la mbinguni. Lakini pia ni lango la ufalme wa Mungu na ufalme wa mbinguni. ” Most welcome!

Our Offices Location

Designed by MAANGATECH.COM