Main Menu

Login Form

Our Facebook Page

SALA
Haleluya!
Bwana ni mwema kwa watu wake
Hataacha mguu wako usogezwe
Hakuna silaha itakayofanyika juu yako ifanikiwe
Adui anatamani ukate tamaa, ushindwe
Lakini ataona umeinuka na unasonga mbele
Hautatoka kwa huzuni wala masikitiko hayatasikika kwako
Bali utaongozwa kwa furaha, utaenenda katika amani na kutulia
Hautakufa bali utaishi uyasimulie matendo makuu ya Bwana
Hautakuwa mkiwa wala mteswa
Umewekwa mbali na kuonewa,
Mbali na hofu maana haitakukaribia
Utayafurahia matunda ya wokovu wako
Wala hautakuwa kama aliyesahauliwa
Haki yako itakujia mara
Nuru yako inakuzukia sasa
Huzuni na taabu zinaondoka
Yesu anatawala Mfalme wa amani
Natangaza mwaka wa Bwana uliokubalika katika maisha yako
Ongeza hema yako maana utaenea kotekote
Imba kwa furaha maana Bwana amekuletea faraja
Katika jina la Yesu Kristo aliye hai
AMEN.

New Teachings

Christian and Economy

Christian and Economy

Being rich for a Christian is a call;BUTBeing rich for all is a choice we make.Isael LemaKazi Ya Mungu ni Lazima ifanyike kwa Nguvu za Akili, Mwilina Mali.Kwa Hiyo Uchumi Unatuhusu Mno Kama WakristoLema Isael - Mkristo na UchumiKumcha Bwana ni...
Uchaguzi Sahihi

Uchaguzi Sahihi

Somo: UCHAGUZI SAHIHI- Maisha ni Uchaguzi -Mnenaji: Isael Lema.Wahusika: UKWATA Mkoa wa Pare.Tukio: Mkutano Wa Pasaka.Tarehe: 24.03.2016PART I: SEHEMU YA KWANZAUCHAGUZI:UTANGULIZI, TAFSIRI NA MCHAKATOUtangulizi1. Katika maisha kuna chaguzi nyingi za...
UNLIMITING THE LIMITS

UNLIMITING THE LIMITS

Soon or later in life there will be limits. Limitations are inevitable but conquerable. It does notmake you feel good. It feels terrible in its encounter but worth going through. You feeldemoralized, victimized, downtrodden, humiliated, and...

JEFFI-Ta Video Share Playlist

Word from the Leader

I JEFFI-Ta Leader I would like to tell you this “There is one name, 'the name of Jesus Christ' that every creature has to know it. We human being even more. Liko jina ambalo kila kiumbe lazima kilifahamu, 'jina la Yesu Kristo.' Sisi wanadamu tunatakiwa kulijua zaidi maana ndio lango la mbinguni. Lakini pia ni lango la ufalme wa Mungu na ufalme wa mbinguni. ” Most welcome!

Our Offices Location

Designed by MAANGATECH.COM