Main Menu

Login Form

Our Facebook Page

UKIRI
Katika jina la Yesu
Bwana ndiye mchungaji wako, hautapungukiwa
Neema yake yakutosha maishani mwako
Kwa kila jambo yeye anajishughulisha sana kwa ajili yako
Usiogope,
Mungu hakawizi ahadi yake kama wengine wanavyodhani
Yeye ni mwaminifu na wa haki
Anakujua vema,
Anajua mahitaji yako,
Anaijua subira yako
Anaujua upendo wako kwake
Anadhamini utumishi wako
You are not forgotten
Hajasahau,
Hajakuacha,
Hajukupungukia,
Muujiza wako upo njiani
Ongeza subira kidogo.
Anakuja utalipwa usipozimia moyo
Yeye ni mwaminifu
Imani yako imekuokoa
Katika jina la Yesu Kristo Bwana.
Amen.

New Teachings

Christian and Economy

Christian and Economy

Being rich for a Christian is a call;BUTBeing rich for all is a choice we make.Isael LemaKazi Ya Mungu ni Lazima ifanyike kwa Nguvu za Akili, Mwilina Mali.Kwa Hiyo Uchumi Unatuhusu Mno Kama WakristoLema Isael - Mkristo na UchumiKumcha Bwana ni...
Uchaguzi Sahihi

Uchaguzi Sahihi

Somo: UCHAGUZI SAHIHI- Maisha ni Uchaguzi -Mnenaji: Isael Lema.Wahusika: UKWATA Mkoa wa Pare.Tukio: Mkutano Wa Pasaka.Tarehe: 24.03.2016PART I: SEHEMU YA KWANZAUCHAGUZI:UTANGULIZI, TAFSIRI NA MCHAKATOUtangulizi1. Katika maisha kuna chaguzi nyingi za...
UNLIMITING THE LIMITS

UNLIMITING THE LIMITS

Soon or later in life there will be limits. Limitations are inevitable but conquerable. It does notmake you feel good. It feels terrible in its encounter but worth going through. You feeldemoralized, victimized, downtrodden, humiliated, and...

JEFFI-Ta Video Share Playlist

Word from the Leader

I JEFFI-Ta Leader I would like to tell you this “There is one name, 'the name of Jesus Christ' that every creature has to know it. We human being even more. Liko jina ambalo kila kiumbe lazima kilifahamu, 'jina la Yesu Kristo.' Sisi wanadamu tunatakiwa kulijua zaidi maana ndio lango la mbinguni. Lakini pia ni lango la ufalme wa Mungu na ufalme wa mbinguni. ” Most welcome!

Our Offices Location

Designed by MAANGATECH.COM